
Habari zenu wanajamvi,
Naombei msaada katika hili, rafiki yangu ameoa na ana watoto wawili chini ya miaka mitano,majuzi mkewe kamkaribisha mwanaume mwenye mtoto toka kijijini kwao Kwediboma,Handeni ili aje hapa Tanga mjini kwa ajili ya matibabu ya mwanawe.
Jamaa anaishi nyumba ya vyumba viwili na sebule na huyo mgeni wa mke wake amepewa chumba chake,jamaa kinachomuumiza kichwa ni mwenendo wa mkewe kumuandalia maji ya kuoga na kumuhandle...